life ni short bana, Grandpa at 36
Imagine niko tu hustle hii maeneo ya Narok alafu nakam kupata news za kunishangaza. My firstborn daughter alijifungua juzi, na mimi nikiwa na 36 tu! It's crazy, nimekuwa Grandpa officially 🤯.
Nilioa mara tu baada ya kumaliza Form 4, nikasema wacha nianze life mapema. Saa hii naona matunda ya hiyo decision, lakini pia inanibamba vile life imeenda speed ya Subaru. Most of my friends hawaamini ati “weh si unakaa kijana bado” lakini ukweli ni life imeniweka kwa lane ya wazee mapema.
Niko hapa nikiuliza, ni advice gani mnaweza nipa as a youngest babu in town? Vile naweza balance life bado ni enjoy na responsibilities za grandparenthood? 🤔